Home
Unlabelled
mwenyekiti wa CHADEMA wa Muheza alipohamia CCM
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
wewe mwanaume unapiga piga magoti kama mwanamke bwana hata kama heshima sio kiivyo aaah njaa hizi
ReplyDeleteKuna usanii mwingine hauwapi wala kuwaongezea sifa au kuwapandisha chati CCM bali kunaendelea kukidhalilisha CCM na Rais hivi kweli sababu alizozitoa huyu mwenyekiti Ex CHADEMA kikiama chama niza msingi "KUNYIMWA PESA ZA MATIBABU NA CHADEMA BAADA YA KUANGUKA NA PIKIPIKI"Alikua CHADEMA KWA MASILAHI YAKE BINAFSI AU KUWATUMIKIA WANANCHI.JE WALE ALIOKUA AKIWAONGOZA WAKIANGUKA NA PIKIPIKI PIA WASAIDIWE NA CHAMA?JE SASA UKO CCM UKIPIGWA NA MKEO NA KUVUNJWA MKONO CCM INAPASHWA KUKUSAIDIA KATIKA MATIBABU?NI WATANZANIA WANGAPI WANAOTESEKA KWA MIAKA 49 YA UTAWALA WA CCM WAKIMBILIE WAPI?SABABU ULIZOZITOA NA HUKU ULIKO AMIA KUNAKUFAA SERA YAKO INAONANA NA CHAMA HUSIKA KUJALI VIONGOZI AU WATAWALA NA SIO WALALAHOI MUNGU IBARIKI TANZANIA
ReplyDeletehuna msimamo hata hao ccm wasikuamini, kwani wakikunyima matibabu/msaada utaondoka tena.
ReplyDeleteTry and decide which part you gonna support
haki ya Mungu hiyo sababu aliyotoa nadhani inazidi kukipa Chadema chati yaani ni mwendo wa maslahi binafsi tu!
ReplyDeleteAcha CCM NJOO TUISHIWOTE NITAKUPA BILIONI MOJA
ReplyDeleteHa ha ha ha .....eti njoo tuishi wote apewe bilioni moja.Nadahni ujumbe atakuwa ameupata!! Watu wengine wanadhani kuongoza chama ni kujilimbikizia mali na huduma za kibinafsi. Isitoshe alishafukuzwa uongozi wa Chadema tangu July 1.
ReplyDeleteJamaa ameshapewa Fulana na kofia basi amemalizwa kabisa hiyo ndiyo mpaka 2015 tena ndio watamhitaji, kweli bado ujinga ni maradhi yanayoendelea kututafuna !!
ReplyDeleteUsituletee njaa zako hapa.
ReplyDeleteKama uliangkuka kwenye pikipiki ulitakiwa uende hospitali ukatibiwe, kama ulilazimika kuomba msaada ina maana CCM wameshindwa kuweka huduma iliyo accessible to all na hiyo ni failure yao.
Usidhani sisi sote tuna akili za kushindia mihogo.'
Almost 50yrs after independence mtu akiumia badala ya kukimbilia hospital kupata matibabu ya uhakika wewe unakimbilia kuomba msaada na unasema CCM oyee, ebo!!!
(US Blogger)original
Safi sana!!!!!! Hii ni haki yake ya kidemokrasia. chadema endeleeni kutukana tu, kwani hamna sera ila hiyo mikutano yenu ya siri katika...
ReplyDelete