Mwekezaji wa jengo la kibiashara lilipo ndani ya manispaa ya Bukoba lililozinduliwa na Mwenge, Salvatory Lwabizi akiwa ameubeba mwenge wa uhuru.
Mgombea wa nafasi ya ubunge wa jimbo la Bukoba mjini,Wilfred Lwakatare kupitia tiketi ya Chama Cha Demokrasia na maendeleo (CHADEMA) akiongea na baadhi ya wakimbiza mwenge kitaifa, wakimbiza mwenge hao walimwagia sifa kemkemi Lwakatare katika hotuba zao walizozitoa kwa tofauti kwa kumuita mwanasiasa mahili katika nchi hii.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. akina ras makunja vipi! wazee naona mpo bize na moto wa taifa aka mwenge,poleni sana kwa kazi

    ReplyDelete
  2. hi!akina ras makunja leo mbona hamna magitaa???harafu pamba naona mpya ?safi sana

    ReplyDelete
  3. Ogela Rwakatare,Mzee Lwabizi ongera pia kuupamba mji wetu ingawa ni ndogo.

    ReplyDelete
  4. akina ras makunja mmependeza ,tena mmetoka chicha kweli...we acha tuu

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...