For Source

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 11 mpaka sasa

  1. mhhh! Hayo mambo yote siku hizi ni criminal offence. Ukijaribu kulazimisha tu, ama ndoa inavunjika au inakuja suala la unyanyasaji wa kijinsia! Kweli Dunia inabadilika kwa kasi sana.

    ReplyDelete
  2. I completely do not agree with this... this is what I call slavery to a husband...if you look at Islamicly what the etiquettes of a healthy intimate relationship it satisfies both the husband and the wife. In Islam both parties have to find the act of making love pleasurable and not only for husband.In Islam the act of caressing your with gives both of them rewards and if you go to your wife with a good intent, love making is an act of ibadat that is rewarded (thawab) by Allah (SWA)...that is just too beautiful.

    ReplyDelete
  3. Duh! Very interesting. This is what is taught to young girls at the Unyago's huko vijijini to date wakati wenzetu wameachana navyo miaka 40 iliyopita. Huu ni utumwa wa kupigwa vita sana tena sana maana bado viko katika practice huku nyumbani. Na mwanamke ukisema usiyafanye hayo yaliyoelezwa hapo japo yanaonekana yamepitwa na wakati, mumeo anakuacha mara moja!

    ReplyDelete
  4. Michuzi umebania post yangu!

    ReplyDelete
  5. ankal you are too daring, ungekuwa mgombea ungekosa kura kwa sababu majority ya wapiga kura ni wanawake.

    (US Blogger)

    ReplyDelete
  6. Huu ndo mfume dume!

    ReplyDelete
  7. Nna wasiwasi baba Nanii wangu alikisoma hichi

    ReplyDelete
  8. hivi vitu siku hizi bado vipo ingawa tumevimordenise na kuviita Kitchen Party. Wanawake tunafundishwa jinsi gani ya kuwapendezesha wanaume especially chumbani. Mbona wanaume wao hatuoni wakifundishwa namna hiyo hiyo jinsi ya kuwafurahiisha wanawake zao vyumbani. Hii yote ni kwasababu bado tunafikiria kwamba mambo ya unyumba ni wanawake tuu ndio wanaotakiwa kuwatumikia na kuwafurahisha wanaume, wanaume wao wakae ama sivyo anaenda nje. Bado haya yapo ndugu zanguni ni kwamba hayapo kwa kijima ni more morden now. KITCHEN PARTY

    ReplyDelete
  9. kwasababu sisi tunaishi miaka zaidi ya 100 nyuma ya wenzetu, basi ni vema tukaendeleza hii sex education mpaka wakati utakapofika

    ReplyDelete
  10. Kazi kweli kweli. that was in 1960's that means is not there anymore and probably if it is, is applied to those people who depend on their husband in everthing.Kwamba hata wakiachwa hawana chao.hivyo itamfanya atiii kilaaaaaaaaaaa kitu even if its against culture and God will.me,on my dead body i will be obeying everything my future husband gonna say to me paricular when we are in bed.yaani ni moan to show that m satisfied while not ..bwana eeh i will tell you live and if possible to start again hata kama amefulfill his satisfaction.lol.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...