Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 13 mpaka sasa

  1. Ni vizuri kuwa na harusi simple za namna hii ili tuweze kujiwekea akiba na pia kusomesha watoto wetu ili kuleta maendeleo na maisha bora kwa mtanzania,na siyo kuendekeza michango ya mamilioni kwa ajili ya ufahari wa kijinga kuendeleza umaskini tu.Inabidi tubadilike haraka na tupunguze au tuache kabisa mambo ya michango ya harusi,kipa imara au birthday,IKibidi mwenye kutaka sherehe hizo na michango mikubwa basi ajitolee mwenyewe maana tumechoshwa na michango kila siku,imekuwa ni kero sana.Mimi binafsi nimeamua kuelekezea nguvu zangu katika elimu ya watoto wangu kuliko upuuzi wa michango ya hovyo hovyo,je??mikoani na vijijini kwani watu hawaoani ??na je?wao huchangishana hayo mamilioni??
    "michango"hasa ya harusi ikome !!!!
    Joas Joel,MIKOCHENI dAR.

    ReplyDelete
  2. safi sawa kwa kuendeleza culture zetu,sio kila kitu kuiga,hii inapendeza sana.after that mchiriku.mambo kama jacob zuma,hakuna kuacha mila zetu za kiafrica

    ReplyDelete
  3. Sasa si mumpe muda wa kula, atakulaje nanyi mmkazana na kuimba. Alafu ambanduki hapo bali mko tu hapo. Mwacheni ale kwa raha zake. ajichane, akumbuke siku yake ya harusi alivyojichana babu.

    ReplyDelete
  4. sasa hao wanake wanafuata nini uvunguni huko? si wangempa kijana wa kiume kazi ya ku serve maharusi?

    ReplyDelete
  5. mdau wa Thu Dec 30, 09:30:00 PM na wa Thu Dec 30, 10:46:00 PM poleni sana kwani mshapotea na mila za kinyumbani na ndio maana mnahoji yanayotendeka hapo.

    Ama mdau wa mwanzo hivi nyumbani kumekuwa na wimbi kubwa la kuchangishana kwa sherehe mbali mbali? Naona wewe sio mtu wa mwanzo kuleta poiny hii hapa ukumbini.

    mdau in exile

    ReplyDelete
  6. Yaani karibu dakika nne anapakua chakula sijui atakula saa ngapi. Halafu anaonyehsa mkali hiyo mikono sijui alikua anadai nini au anauliza kwanini hajaweka kitu fulani? Mikono inasema yote...Shemeji mkali kweli huyo.

    ReplyDelete
  7. sio mila zetu hizo ni za WAARABU

    ReplyDelete
  8. Hivi ukisema utamaduni wetu wa kitanzania unarejea utamaduni upi? Kuna makabila zaidi ya 100 na kila moja lina utamaduni wake. Hakuna utamaduni wa Mtanzania kuna utamaduni wa makabila na wa Dini na sote tunafuata tamaduni aidha za makabila au dini zetu kama kuvaa suti tunaiga wazungu, na kuvaa kanzu tunaiga waarabu.

    ReplyDelete
  9. Salaam KAka mithupu!

    Hizo sio MILA ZA WAARABU...HIZO NI MILA ZA WASWAHILI... yaani WATU WA UKANDA WA PWANI! ni shughuli Simple! hapo maana yake mzee ameshachukuwa jiko A.K.A ameshaoa! sasa kabla ya hapo anamwagiwa "MAJI YA ZAM ZAM" muungwana anaoshwa na maji ya "ZAM ZAM" anafungwa kicheni na chanda wake yaani huyo Bwana Arusi anakuwa na shoga yake au kwa lugha nyepesi mpambe wake "Best MAn" anafungwa nae cheni mguuni halafu anaoshwa na maji ya Zam Zam , halafu akitoka hapo ndio anamaliziwa na hilo Kombe la Bwana Arusi kama mnavoona hapo! ikishiisha hapo mchezo umeisha ila labda tu kama bwana Arusi atapenda kufanya karamu ya kupika "MPUNYENYE" kwa lugha nyingine WaLi ...ni Arusi simple ambayo haizidi mil 2. watu wote wanakula na kunywa juice au soda na maji! na baada ya hapo maharusi wanaendelea na shughuli zao kama kawaida!

    ReplyDelete
  10. aliyekwambia kanzu ya waarabu nani? asili yake wala si arabuni kanzu asili yake uturuki ila waarabu wameiga na kuifanya nguo ya ibada kutoka na kuwa free wakati wa sala. kwa upande wa solo raha yake ni kuwa bwana ale huku akiimbiwa, akipepewa na watu wakicheza na wengine wakitunza ni sehemu ya harusi hivyo haina haraka.

    ReplyDelete
  11. we anony wa kanza usijidanganye, hapo ni baada ya ndoa, wakishapata msoc, jioni ukumbini as usual. wabongo kwa ukumbini!!yani jamani michango ingepitishiwa sheria kabisa, na....ya 2011. tunaumizana sana aisee.

    ReplyDelete
  12. wewe mdau wa Fri Dec 31, 07:13:00 AM unaedai kuwa hii ni mila ya waarabu toa ushahidi wako (evidence). Wacha kuleta kasumba zako hapa1 grow up!

    ReplyDelete
  13. Anon wa 11:27:00 ingia wikipedia ukutane na jibu lako kama kanzu ni ya waarabu au hapana..
    " The word thawb is the standard Arabic word for 'a garment'. It is the traditional Arab dress for men. It is sometimes spelled thobe or thaub. It is a tunic, generally long. The word is used specifically for this garment in Arab states of the Arabic Gulf. There has been some debate regarding the correct length of the thawb. Shorter length represents modesty, while longer represents royalty, status and wealth.

    The thawb is typically worn by men in the Arabian Peninsula, Egypt, Morocco, and other Muslim countries. It is normally made of cotton, but heavier materials such as sheep's wool can also be used, especially in colder seasons. The style of the thawb varies slightly among the various regions within the Persian Gulf. The sleeves and the collar can be stiffened to give a more formal appearance. Other names may be used for this garment. In Souraqia, dishdasha is the most common word for the garment, and in the UAE, the word kandura is used. In Morocco, the sleeves tend to be much shorter so that the thawb may seem more like a long T-shirt and is locally called gandora. Also the neck tends to be more open than in its Saudi counterpart and is often embroidered as is the breast pocket. Also it might lack buttons altogether."

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...