Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 6 mpaka sasa

  1. Masha'Allah mwenyezimungu anasema Binadamu si Macho Si Mikono si Miguu sawa na hujafa hujaumbika Binaadamu ni "Nafsi" kama Nafsi yako nzuri basi utaenda vizuri tu. unaweza ukawa na macho ukafanya mabaya kwa kuyatizama tu bora asiokuwa nayo. Mwenyezimungu atujalie tujue kuhangaika na kujipenda na kupenda wanaadamu wenzetu bila kujali wako vipi rangi gani. MZ

    ReplyDelete
  2. Ndugu zangu wabongo itufundishe kitu hiyo Video. Wengine tuna mikono, miguu na kila kitu cha kuweza kufanya kazi lakini siku kucha tuko mitaani na vibarazani kubishana habari za Manchester na Chelsea. Maisha kumbe juhudi yako tu.

    ReplyDelete
  3. what an inspiration....

    ReplyDelete
  4. ALLAH IS GOOD

    ReplyDelete
  5. Daaah Uncle michuzi yani hii video imenigusa sana kiasi kwamba imebidi niiweke kwenye Facebook yangu ili wengine waone na wasijisahau...Big Up Mzee wa bwawa la maini...naona mnajisogeza kama kinyonga..

    ReplyDelete
  6. alivyo dive nkajua ndo kaamua kujimaliza mara kaibuka du jamaa shupavu.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...