Mbunge wa Hai na Mwenyekiti wa CHADEMA na kiongozi wa upinzani Bungeni Mh.Freeman Mbowe akichangia hoja leo katika kujadili hotuba ya Rais Jakaya Kikwete alipozindua bunge la 10 mjini Dodoma

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. Huyu naye anaijadili hotuba ya rais ya uzinduzi wa bunge kwani alikuwepo? Si alitoka nje hakutaka kuisikiliza sasa anajadili nini wakati huo aliona ni upuuzi kukaa kuisikiliza leo ndio imekuwa muhimu anaijadili? Au alikwenda kuisikiliza kwenye luninga? Au ndio ameisoma iliyoandikwa? Mweeh mtatoka nje sana mwaka huu!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...