Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akifurahia jambo katika mazungumzo na Mbunge wa Korogwe Vijijini Steven Ngonyani (kushoto) na Mbunge wa Sumbawanga Mjini , Khalfan Aeshi (kulia), kwenye viwanja vya Bunge Mjini Dodoma leo. (P icha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. Hapo lazima mtu ashushiwe radi mchana kweupeeeeeeeeeeeeeee, maana wataalamu wa yaleeeeeeeeee mambo yetu yale wamekutana, ni noma, huku sumbawawanga huku maji marefu, hapo lazima mtu ashikishwe adabu hahahahaa

    ReplyDelete
  2. Pinda mwenyewe ni wa kulekuleeeeeeeee! hapo timu imekamilika

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...