Mwenyekiti wa CCM Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete na viongozi waandamizi wa CCM wakipiga makofi muda mfupi kabla ya kuanza kikao cha Halshauri kuu ya Taifa CCM katika ukumbi wa White House mjini Dodoma leo asubuhi.
Makamu wa Rais Dkt. Mohamed Gharib Bilal ,Wziri mkuu Mizengo Pinda pamoja na baadhi ya wajumbe wa mkutano wa Halmashauri Kuu ya CCM taifa wakati wa kuanza kikao hicho mjini Dodoma leo asubuhi.(Picha na Freddy Maro).
WAKATI UMEFIKA SASA,MAKAMBA NA WENZAKE WANAKIONA "KILICHOMTOA KANGA MAGOYA"YA MKIANI,HUU NIYO MWISHO WA RELI,BADO WENGINE WANAFUATA,UFISADI
ReplyDeleteKWISHNEY !!!SASA ANZENI KULICHEZA HILO SEBENE !!!