Mchezaji Mbwana Samatta akijiandaa kumtoka mchezaji wa Cameroun Kwin Noe Kwenye pambano lao leo uwanja wa Taifa ambapo vijana hawa wa umri wa chini ya miaka 23 waliwabanjua wageni hao kwa penati 4-3 baada ya dakika 120 kushinda bao 2-1. Tanzania pia walifungwa 2-1 huko Cameroun wiki mbili zilizopita
Timu ya Polisi ya Wilaya Kati jijini Arusha.
Mfadhili Mkuu wa Mashindano ya Kamanda Andengenyi (Andengenye Cup) ya kuhamasisha jamii kwenye swala la ulinzi shilikishi na Rais wa RBP Oil and Industrial Technology, Rahma Al-Kharosi akizungumza na waaqndishi wa habari mara baada ya ufunguzi huo.
Wachezaji kutoka Kata mbalimbali za Jijini Arusha wakiwa kwenye maandamano ya ufunguzi wa mashindano ya Kombe la Kamanda Andengenyi(Andengenye Cup) ya kuhamasisha jamii kwenye swala la ulinzi shilikishi, yaliyofunguliwa rasmi na Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Isdory Shirima,kwenye kwenye Uwanja wa Shekh Amri Abed jana.
Michuzi tuwekee mambo yanavyokwenda DODOMA...
ReplyDelete