Mdau Khatibu Abdillah Makenga na mai waifu wake Fatma Ally Juma wakiwa katika mnuso wao wa nguvu katika ukumbi wa Brigade Mess ulioko Lugalo Jeshini jijini Dar usiku wa kuamkia leo, baada ya wapendanao hawa kumeremeta siku ya Ijumaa huko Kimara kwa Msuguri jijini DarWafanyakazi wenzake Bw. Harusi wakiongozwa na Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa Balozi Rajab Gamaha wakipozi na maharusi
Maharusi wakpozi na Kamati ya maandalizi chini
ya uenyekiti wa mdau Shaaban Kessy Mtambo (kulia mbele)
Maharusi wakiwa na wafanyakazi wa kitengo cha
Asia na Australia anakopiga boxi Bw. Harusi
Maharusi na familia zote mbili
Maharusi na wapambe wao wakitambulishwa

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 6 mpaka sasa

  1. Hongera sana Fatma, Mungu amekupa yule unayemstahili, Mume Bora.
    Mbarikiwe sana na muwe na ndoa yenye furaha, amani upendo, mafanikio na Baraka tele.
    Khatibu, take an xtra care of her, it's an order!
    From Friend from High School to UDSM & Forever.

    ReplyDelete
  2. Kaka! Kaka! Kaka! Sasa hivi tulia nyumbani. Yale mambo yetu yaleeeee, waambie sasa hivi basiiiii. Wife wa nguvu. Hongera sana.

    ReplyDelete
  3. Yes Fatma she deserve it n Khatibu either..
    UDSM mate

    ReplyDelete
  4. Sebbo, hongera kaka!
    Wishing u all the best in ur new life!
    Be blessed!
    OWINO OKO Butunda

    ReplyDelete
  5. wish all the best bro in ur new world life .

    ur bro from ireland .

    anau

    ReplyDelete
  6. Wow!! Nice nice nice!! Hongera sana Fatma ! I am sooo proud of you girlfriend. You rock!!!
    Kisses (Friend from UDSM)

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...