Hili ni mojawapo ya maboma mashuhuri ya Kimasai unalokutana nalo kabla ya kuingia 'shimoni' Ngorongoro. Watalii wengi toka nchi mbalimbali duniani hupita hapa kuona mila na utamaduni wa Kimasai

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. Hilo boma limesheheni mambo mengi sana ya kuweza kukuelimisha kuhusu maisha ya ndugu zetu hawa kama jamii na jinsi wanavyoweza kuishi na wanyama wa porini eneo moja.

    http://tembeatz.blogspot.com/

    ReplyDelete
  2. AnonymousJune 01, 2011

    WAMASAI NI KABILA PEKEE ILIYOBAKI NA KUDUMISHA MILA YAO NI WATU WAZURI SANA WAMASAII KWA WALE WANAOFUATA MILA SAWASAWA NA SIO HAWA WAMCHANGANYIKO SIKU HIZI UKIWAKUTA WAMASAII WALE WENYEWE NI WATU WASIOPENDA MAKUU NA WANAFUATA HAKI HAWATAKI DHULUMA WANAUPENDO WAKWELI NA HAWAJUII KUSEMA UONGO NA WANADHAMINI MILA YAO NA JADI YAO UKIJARIBU KUWACHUNGUZA WAMASAII KWA UNDANI UTAGUNDUA MENGI MAZURI KWAO

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...