Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein,akifungua pazia kama ishara ya kuufungua Msikiti katika kijiji cha Tunduni,wilaya ya Kati Unguja jana,msikiti huo umejengwa kwa ufadhili wa Bwana Yakub Osman Sidik na Adil Yakub Sidik,ambapo ujenzi wake ulianza tarehe 11/11/2010--18/4/2011.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein,akikata utepe kama ni ishara ya kuufungua Msikiti katika kijiji cha Tunduni,wilaya ya Kati Unguja jana,msikiti huo wa kisasa umejengwa kwa ufadhili wa Bwana Yakub Osman Sidik na Adil Yakub Sidik,ambapo ujenzi wake ulianza tarehe 11/11/2010--18/4/2011.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein,akizungumza na wumini wa Dini ya Kiislamu wa kijiji cha Tunduni na vitongoji vyake,wakati wa ufunguzi wa Msikiti katika kijiji hicho,wilaya ya Kati Unguja jana, uliojengwa kwa kwa fadhili wa Bwana Yakub Osman Sidik na Adil Yakub Sidik,ambapo ujenzi wake ulianza tarehe 11/11/2010 --18/4/2011.Picha na Ramadhan Othman,IKULU.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. AnonymousJune 11, 2011

    Ankal kilichokuvutia hapa ni Jinaleeeee! "Tunduni"

    ReplyDelete
  2. AnonymousJune 11, 2011

    sio Tunduni ni Tunduuni! kuna tafauti kabisa ya maneno mawili hayo!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...