KWAKO ANKAL,
POLE KWA MAJUKUMU YA KUELIMISHA TAIFA. NAOMBA UNIRUSHIE HILI TANGAZO KTK BLOG  YETU YA JAMII.NAUZA GARI AINA YA HARRIER-2000,CC2200,KM 98,320.INATUMIKA KIFAMILIA TU NA NILIAGIZA KUTOKA JAPANI NA NI MMILIKI WA KWANZA HAPA NCHINI TANGU KUAGIZWA NA INA MIEZI 4 TU.


BEI YAKE NI TSH M24 MAELEWANO YAPO. NAMBA YA SIMU NI +255715855184.




Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. AnonymousJune 11, 2011

    mbona huja andika kua imegongwa mara ngapi na daladala wee vp

    ReplyDelete
  2. AnonymousJune 12, 2011

    Acha Uongo BLP haina Miezi Minne,ina zaidi ya Miezi 6..Bei yako Ipo juu sana

    ReplyDelete
  3. AnonymousJune 12, 2011

    muuzaji wa gari tungependa kujuwa mwaka wa hiyo gari na kama utakuwa muuzaji wa kweli basi hapa kuna milioni 8 cash bila usumbufu nijibu hapa kama itawezekana basi nitakupigia simu.

    ReplyDelete
  4. AnonymousJune 12, 2011

    kama huna cha kuchangia fanya mambo mengine ya msingi, sasa mtu anauliza imegongwa mara ngapi na daladala? kweli wewe una akili timamu, pumbav

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...