Mchekeshaji Maarufu nchini,Evance Bukuku akiwavunja mbavu wapenzi wa vichekesho vyake waliohudhulia kwa wingi usiku huu katika kiota cha SweeteEazy kilichopo Masaki jijini Dar.
Evance Bukuku akifanya vitu vyake usiku huu ndani ya Sweet Eazy.
Mchezaji wa Mpira wa Kikapu nchini Marekani,Hasheem Thabeet akizungumza katika Shoo ya Vichekesho vya Evance Bukuku ndani ya Sweet Eazy usiku huu.
Mchekeshaji wa kundi la Vuvuzela Entertainment chini ya Mchekeshaji Maarufu hapa nchini afahamikae kwa jina la Evance Bukuku,Dogo Pepe akiwavunja mbavu wadau waliofika katika shoo hiyo usiku huu.Hasheem Thabeet akizungumza usiku huu huku MC Taji Liundi akimtizama.Ankal a.k.a Mzee wa Libeneke nae yumo katika libeneke la uchekeshaji na hapa akionyesha namna anavyopataga shinda kumpiga picha Hasheem Thabeet kutokana na urefu alionao.
Ankal akiendeleza libeneke lake.
MC Taji Liundi.
Wadau.
Mchekeshaji wa kundi la Vuvuzela Entertainment chini ya Mchekeshaji Maarufu hapa nchini afahamikae kwa jina la Evance Bukuku,Enika akifanya vitu vyake usiku huu.
Vicheko vikitawala kwa kila aliefika Sweet Eazy usiku huu.
Wapenzi wa Shoo za Vuvuzela Entertainment wakiburudika na vichekesho vilivyokuwa vikiendelea kuonyeshwa na watu mbali mbali waliofika Sweet Eazy usiku huu.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 6 mpaka sasa

  1. AnonymousJune 01, 2011

    Thabeet kabadilisha fani siku hizi amekuwa mchekeshaji tena!!! woooooow mimi nilifikiri huwa anacheza mpira wa kikapu wa kulipwa na wakati huu alipaswa awe kambini akijinoa!!! Kumbe yupo bongo kaja kutanua vijidola vyake! okay!

    ReplyDelete
  2. AnonymousJune 01, 2011

    Michuzi ukibania komenti yangu hii najitoa kuwenye uanachama wa blog hii. Pia kuna kundi kubwa la wafuasi wa blog nitawashauri wajitoe (mkwara.
    -------------------------------------

    Huyo dada kwenye Picha namba tisa alikuwa na nia mbaya ya kumtega Hasheem. Kweli bongo kuna vitu na kuna mambo!!

    Observer

    ReplyDelete
  3. AnonymousJune 01, 2011

    Hi Michuzi tena:

    1. Wape hongera wabunifu hawa na waambie wajitahidi iwe endelevu

    2. Nataka kusajili jina la Observer, niangalizie kama kuna mtu ameishalichukua na nielekeze nifanye

    Observer

    ReplyDelete
  4. Kaka,

    Huyo MDAU aliekaa kulia kwa Hashimu vipi huyo Kaka?
    Kontakt zake zinaweza kupatikana?

    Au ndio mali za Hashimu.

    Fanya mpango wa kontakt. Ntakupoza Kaka angu.

    ReplyDelete
  5. AnonymousJune 01, 2011

    kwa hivyo kile cheo cha NBA hakipotena??? tumwomebeni mungu ndugu yetu na pia tuwaombee wengine zaidi na zaidi wazidi kuchaguliwa

    ReplyDelete
  6. AnonymousJune 01, 2011

    kwanini mtu ukikaa karibu tu na mtu mwenye pesa/maarufu watu moja kwa moja wanadhani unataka pesa zake?? siajabu yule dada ni millionea fulani kushinda huyo hashim. hivi mnahabari kuwa ukipewa contract na haya mashirika makubwa inabidi kuwalipa watu kadhaa?? kama vile ukimtafuta dalali akusaidie kuuza nyumba so msidanganyike na suti.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...