Brookhouse International School Limited pre-pupils read stories from books and swing the traditional dance during the 12th graduation ceremony held at the school's ground, located along Haile Selassie Road in Dar es Salaam today.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. AnonymousJuly 27, 2011

    Watanzania tuko wapi sasa, enzi zetu hizo sare zilikuwas na heshima yake yaani in wana degree tu ndiyou walivaa hizo. Sasa hivi hata kindergarden wanavaa hizo, hii ni kuonyesha nini? huo in ushamba tu na upumbafu wa hali ya juu. Never heard of a kindi graduation anywhere in this world isipokuwa bongo. Watanzania amkeni, no wonder nchi haina wasomi bali mafisadi tu.

    ReplyDelete
  2. AnonymousJuly 27, 2011

    It is very sad to see hata kindy now wanagraduate siku hizi. Do they really need to wear those sares? Watanzania tuko wapi sasa - hewani?

    ReplyDelete
  3. AnonymousJuly 28, 2011

    Kweli inashangaza sijui tunawaonesha nn watoto wetu,mi nafikiri watanzania tauchane na hii staili ya kuwavika watoto wadogo mavazi haya eti wanapograduate,, yan hapo nikumwonesha mtoto kuwa wewe umeshamaliza shule na wakati baaadooo kabisa tunalishushia hadhi vazi hilo,chekechea nao wanalivaa duuu! je sie tulio vyuo vikuu huku ina maana tumelingana na hao watoto?Mbona utamaduni huu hebu tuachane nao kwanza ni aibuu!

    ReplyDelete
  4. AnonymousJuly 28, 2011

    ...it is indeed very sad, maana watoto hawa baadae hawataona ufahari akiona dada ua kaka yake amevaa vazi kama hilo. It wouldn't inspire them!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...