Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akitoa hotuba ya ufunguzi wa Mkutano wa Kimataifa wa Usafiri wa anga unaofanyika katika hoteli ya Kilimanjaro Kempinski jijini Dar es Salaam.(photo by Freddy Maro).

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. `mkutano wa kimataifa wa usafiri wa anga! how many plane do we have? mh(ATC)

    ReplyDelete
  2. Anga la Tanzania sio la ATCL pekee lakini ni la watumiaji wote. Makampuni binafsi ya ndege ni mengi sana na ndege zilizosajiliwa hapa ni nyingi. Na ongeza watumiaji wa kimataifa...

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...