Baadhi ya wafanyakazi wa kituo cha televisheni cha DTV wakiwa nje ya ofisi baada ya kusitisha matangazo yao kutokana na genereta wanalotumia kuisha mafuta na kushidwa kujua wapi kwa kwenda kuyapata kutokana na vituo vingi vya mafuta kufungwa kutokana na mgomo wa punguzo la bei lililotolewa na Serikali hivi karibuni.
Wapita njia wakiangalia Gari la Kituo cha Televisheni cha DTV likiwa limeegeshwa baada ya kuisha mafuta leo hii.
Fundi akijaribu kutafuta mbinu mbadala ili gari iweze fika sehemu husika.
Hivi hii nchi inaelekea wapi jamani,ikiwa umeme shidaa,mafuta shida na sasa mpaka wafanyabiashara wana jeuri kiasi cha kufanya watakavyo..duh,waheshimiwa wanakula bata as usual.
ReplyDeleteMMMMmmmmmmmmmmmmmmmmmh! Patamu Hapo!
ReplyDeleteAkifanikiwa kupata hiyo mbinu mbadala,nadhani atatajirika mara moja!!!!!
ReplyDeleteKufungua boneti ya gari ili kutatua tatizo la mafuta, sijui kama kuna ukweli naona gari ina matatizo ya injini sio mafuta.
ReplyDelete