Ankal habari za majukumu?

Nimeulizwa swali na mwanangu nikawa sina jibu naomba wadau wanisaidie. Swali: Mke wa Rais huitwa First Lady, je mume wa Rais (yaani kama mke ndiye rais) huitwaje?

Mdau Alex

Mtoni Kijichi

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 21 mpaka sasa

  1. FIRST GENTLEMAN AU FIRST DUDE HAHAHA!

    ReplyDelete
  2. HUWA ANAITWA FIRST GENTLEMAN!

    ReplyDelete
  3. ANAITWA FIRST GUY

    ReplyDelete
  4. anaitwa First Gentleman

    ReplyDelete
  5. FIRST LAD au FIRST FALA au FIRST MAN au FIRST GENTLEMAN

    ReplyDelete
  6. Anaitwa First Husband

    ReplyDelete
  7. Anaitwa "Husband of the President" au "Husband of the Prime Minister" (Google translator)

    ReplyDelete
  8. maneno yalianzishwa wakati wa mfumo dume kwa hiyo hawakutegemea mwanamke angekuwa rais. kutoka kwenye king na queen walisaha wamawake vile vile wanaweza kuwa marais

    ReplyDelete
  9. mume wa rais anaitwa mtemi mirambo

    ReplyDelete
  10. Anaitwa First husband

    ReplyDelete
  11. anaitwa THE GUY OF YOUR MAJESTY MISS PRESIDENT! hahahahahaha

    ReplyDelete
  12. huwa anaitwa kichwa cha nyumba

    ReplyDelete
  13. Anaitwa DUME LA MBEGU.

    ReplyDelete
  14. HAHAHA!! kila mtu na jibu lake; UKIONA HIVYO HAKUNA JIBU SAHIHI-LOL

    ReplyDelete
  15. huwa anaitwa mume wa wananchi! kwa hiyo ikitokea nchi yako rais mwanamke wananchi wote mnakuwa kama mmeolewa na mumewe uwe mwanamke au mwanamme wote mmeolewa tu! kwa hiyo huyo anaitwa! MAN OF THE COUNTRY

    ReplyDelete
  16. Kidume cha Bosi!

    ReplyDelete
  17. jamani acheni utani, mtoto anataka kujua, tumsaidie huu si utani hata kidogo. Kwani yule rais wa Sierra Leon si ni mwanamke hajaolewa? wajuzi tujuzeni na wengine tuache upuuzi.

    ReplyDelete
  18. anaitwa MICHUZIIIIIII ahahhahahahah

    ReplyDelete
  19. Anaitwa second Lady

    ReplyDelete
  20. Nafikiri kwakuwa siyo kawaida basi anaitwa LAST MAN.Degelavita, Bergen, Norway.

    ReplyDelete
  21. Yaani Wabongo mna mambo yaani nimecheka mpaka kifua kinaniuma,,,EE kweli mna maneno sijui mnayatoa wapi,,,EE nikiwa na mawazo nafungua tu kwa michuzi ili nifurahi,,,

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...