Mara baada ya ajali hiyo dereva alikimbia  hajulikani alipo na hivi ndivyo Gari linavyo onekeana kwa mbele
 Huwezi amini hii gari imeingiaje hapa kwakweli madereva kuweni makini barabarani pombe ni hatari ukiona umelewa acha kuendesha gari 
 Baadhi ya wananchi wakiangalia gari iliyotumbukia darajani Mama John,  jijini Mbeya
Mwana usalama barabarani akitoa plati namba ya gari lililopata ajali maeneo ya mama john jijini mbeya ajali hiyo imetokea jana usiku baada ya dereva wa gari hilo aina ya toyota corola kuzidiwa  kilevi na kukosa mwelekeo na kutumbukia katika dalaja. Picha na Mbeya Yetu Blog

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...