Hapo kuna malumbano makali sana kuhusiana na madaladala hayo yaliyopigana pasi wakati moja likikatisha kulia na lingine likienda moja kwa moja maeneo ya Kinondoni Kanisani,mchana wa leo.ajali kama hizi nyingi ni kutokana na uzembe wa madereva kutokana na kuamini kuwa alie mbele anajua anachokifanya na alie nyuma anamuona alie mbele yake.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. Mdau hii ilitokea J2 7-8-2011 niliishuhudua pia na sio 8-8 kama inavyoosomeka hapo

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...