Bi Harusi Mtarajiwa,Lucille Damas Kombani akiwa katika tabasamu zito usiku huu wakati wa sherehe yake ya kuagwa na wazazi wake (Send Off) inayofanyika katika ukumbi wa Magadu,maeneo wa SUA,mjini Morogoro usiku huu.
Bi. Lucille Damas Kombani akiwa na Matron wake usiku huu.
 Lucille Damas Kombani akikata keki.
 Matron akimlisha kipande cha keki  Bi. Harusi mtarajiwa Luicille Damas Kombani
Wazazi wa Bi. Harusi wakiwa katika utambulisho wa ndugu mbali mbali waliohudhuria hafla hiyo.
Mama wa Bi. Harusi,Mh. Celina Kombani (kushoto) akiwa na Mke wa Rais wa Zanzibar,Mama Mwanamwema Shein (katikati) pamoja na Mh. Hawa Ghasia.
  keki ya Samaki
 Mama wa Bi. Harusi,Mh. Celina Kombani akiongozana na Mke wa Rais wa Zanzibar,Mama Mwanamwema Shein wakimpongeza kijana wao usiku huu katika ukumbi wa Magadu,uliopo Mjini Morogoro.
Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma,Mh. Said Mwambungu akitoka kumpongeza Bi. Lucille.
 Mkuu wa Mkoa wa Morogoro,Mh. Joel Bendera nae akitoka kutoa pongezi zake.
meza kuu ya wazazi wa Bi. harusi.
Picha ya Pamoja ya viongozi mbali mbali waliohudhuria hafla hii.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. Hongera sana Lucille mpenzi. Wish u all the best & God bless u. Jestina

    ReplyDelete
  2. keki ya samaki au SAMAKI sijaelewa

    ReplyDelete
  3. Hongera saaana Lucille dia.nakutakia kila la kheri ktk maisha yenu yajayo ya NDOA.

    ReplyDelete
  4. OOoooh! What a coverage bwana mchuzi.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...