Wauguzi wa zahanati ya chuo kikuu kishiriki cha ushirika na biashara.
 Waziri wa kilimo,chakula na ushirika Prof Jumanne Maghembe akikata utepe kuashiria uzinduzi wa zahanati ya chuo kikuu kishiriki cha ushirika na biashara,Moshikushoto kwake ni mkuu wa chuo hicho Prof Bee.
 Prof Maghembe akifunua kitambaa kwenye jiwe la Msingi.
 Prof  Maghembe akitazama moja ya wodi kwa ajili ya kulaza wagonjwa,kushoto ni mkuu wa wilaya ya Hai Dk Norman Sigalla,kulia ni mkuu wa chuo hicho Prof Bee.
 Prof Maghembe akitembea kuangalia mazingira ya  zahanati hiyo.
Zahanati ya chuo kikuu kishiriki cha ushirika na biashara,Moshi,(MUCCoBS).
 Picha zote na Dixon Busagaga wa Globu ya Jamii,  Moshi.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...