Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. hivi samani ya dola mia (100) na dola moja hiko wapi? maana tatizo hili kuwa na utofauti wa dhamani wa dola hile hile yaani mia na dola 50 hiko wapi wakati zote ni dola tu?
    please naomba ufafanuzi wadau

    ReplyDelete
  2. kudadadakiiiii!! Uchumi wetu unapaaaa kwa kasi sana! Du! swafiiiiiiii sana Mkuuuu hongera

    ReplyDelete
  3. SI HUKO USHENZINI KUSIKOKUWA NA SHERI WALA KATIBA!


    WAJE WAISHI HUKU WAONE THAMANI YA § 1,5 na 100 zote ni sawa ni dollar.

    ReplyDelete
  4. Jamani kuporomoka kwa Shilingi ya Tanzaia inakaribia kuwa US$ 1 KWA TSH. 2,000/=..kwa nini tusiamue kutumia US$ tu?,,,,Changamoto natoa.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...