Kiungo wa Simba, Jonas Mkude akimtoka beki wa Asante Kotoko ya Ghana, Frank Boateng katika mchezo wa kirafiki wa Kimataifa wa kuadhimisha miaka 50 ya Uhuru wa Tanganyika uliofanyika Jumapili kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam. Asante Kotoko imeshinda 1-0.
Hatari langoni pa Simba SC
Kipa wa akiba wa Simba aliyechukua nafasi ya Juma Kaseja akipata matibabu baada ya kuumia na kushindwa kuendelea na mchezo.
Abuu Magube wa Simba akichuana na Michael Anaba wa Asante Kotoko. Picha na Francis Dande
Kuna dalili za seriousness katika kuandaa chipukizi Simba. Safi sana. Angalau kuna watu walikuwa wanamsikiliza Maximo. Miaka 6 ijayo watatesa sana.
ReplyDeleteYou heard it here first.
Ni Simba gani hiyo, mbona majina hayajulikani ktk club ya Simba?
ReplyDeletesafi sana kotoko wafundisheni boli hao simba maana boli tanzania sio sehemu yake just tunajilazimisha tu
ReplyDeletetuingilie michezo mingine sio boli
Jamani kwani lazima wavae jezi za Vodacom hata kwenye mechi ya kirafiki? Kwani hiyo ni mechi ya ligi kuu ya Vodacom?
ReplyDeletehawana jezi zao sasa wafanyeje na jezi wanategemea za udhamini tu wa voda
ReplyDelete