Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein,akisoma maandishi ya jiwe la nyumba ya makatari baada ya kufungua pazia kama ishara ya uwekaji wa jiwe la msingi Nyumba ya madakatari wa Norway, katika Chuo cha Sayansi ya Afya Mbweni,ikiwa ni miongoni mwa shamra shamra za miaka 48 ya Mapinduzi ya Zanzibar,( kushoto) Waziri wa Afya wa Norway,Anne Crestrestom Erichsen.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein,akipata maelezo kutoka kwa Mhandisi na Mshauri mwelekezi wa wizara ya Afya Khamis Omar Sheney,baada ya kuweka jiwe la msingi  Nyumba ya madaktari wa Norway Chuo cha Sayansi ya Afya Mbweni,ikiwa ni miongoni mwa shamra shamra za miaka 48 ya Mapinduzi ya Zanzibar,(wa pili kushoto) Waziri wa Afya wa Norway,Anne Crestrestom.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein,akisalimiana na Mkuu wa Chuo cha Afya ya Sayansi Hakim Bilal,alipofika chuoni hapo kuweka jiwe la msingi Nyumba ya madaktari wa Norway,ikiwa ni miongoni mwa shamra shamra za miaka 48 ya Mapinduzi ya Zanzibar. (Picha na Ramadhan Othman IKULU)

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...