Kwa wale ambao walipitwa na Hotuba ya Mh. Rais Jakaya Kikwete kwenye Maadhimisho ya Mei Mosi Jijini Tanga jana, wanaweza kuisikiliza kupitia

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. AnonymousMay 02, 2012

    Bravo JK.Hotuba nzuri.Endelea kuwabana hao wafuja mali ya umma.Umegusa kila uchochoro wanaopitia kudokoa.Usiogope mkuu.

    Kazi:Kuna watanzania wanafanya kazi nje ya nchi lakini zile kazi hawakutafutiwa na serikali,wali-apply wakapata,je hawa wizara ya kazii inawafahamu au kuwatambua?Manake kwenye hotuba inaonekana serikali inafahamu tu wale iliowatafutia kazi tu.

    David V

    ReplyDelete
  2. nilikua nikiwaza kila siku ni lini mh rais jk atafatilia swala hili muhimu kwenye wizara zote kwa viongozi na wafanyakazi kuhusu matumizi ya fedha yanavyotumika, umefanya vizuri sana jk kwa kufanya kazi kubwa ya kuweka wakaguzi kwenye serikali, kwa kifupi sisi raia tunajua kua kuna viongozi wengi wa serikari yetu wanaiba pesa kwenye hizo idara za serikali, ndio maana nchi yetu badala iinuke inazidi kudidimia pesa wanatumia wao madeni wanakuachia wewe rais.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...