Jamaa kaingia Bar na kukuta watu wametulia wanapiga mambo yao,nae akaanza kutoa oda kwa mkwara kama ifuatavyo:-
Jamaa: "Muhudumu, nipe kinywaji na mpe kila mtu humu ndani kinywaji,
maana wakati napata kinywaji lazima kila mtu apate kinywaji."
Haraka sana muhudumu akagawa vinywaji,
Jamaa: "Muhudumu nipe supu na kila mutu humu ndani mupe supu maana
ninapokunywa supu kila mtu lazima anywe supu."
Watu wakapewa supu,tena safari hii wakapiga makofi kumpongeza.
Jamaa: "Muhudumu nipe bili, na kila mtu humu ndani mupe bili maana wakati
nalipa bili yangu kila mutu lazima alipe yake."
Zogo lilianzia hapooo.....
Hapo kwenye bili patakuwa hapatoshi, Ankal loh!
ReplyDeletehaaaa haaaaa haaaaaaa, u made my day
ReplyDeleteOfa kama hizi ndio pale unapoambiwa:
ReplyDelete1.Bure ghali !
2.Gusa unase !
3.Kula uliwe !
Fundisho hapa ni tusipende offer za bure... wazungu wanasema "There is no free lunch" au Usifikiri umepata kumbe umepatikana... hapo piga mahesabu kama ulikuwa hauna hela alafu ukaparamia offer kwa kujimwaya mwaya... ndipo kibao kinageuzwa... duh... hiyo kali...
ReplyDeleteduu hii imepoa sana ha ha ha michuzi shukran kwa kunichekesa
ReplyDeletemdau washington D.C
Hahahahaha! Nothing is for free kwahakika.
ReplyDeleteJamani mbavu zangu nimecheka mpaka maumivu ya kubeba box yamepotea khaah!.
ReplyDeleteHa!ha!ha!ha!ha!ha!ha!ha!ha! Nimefurahi sana - Niliamka na unyonge ndani ya moyo wangu lakini yote nimesahau nimeongeza japo pumzi za kuendelea na maisha - SAFI SANA!!! Kila mtu atie akili Wabongo wengine wapenda sana BURE ona walimpigia makofi ya furaha!!! sasa sijui mwisho walirusha chupa au kila mmoja alianza!!!!!
ReplyDeleteduh huyo naona watamuua... ni kali hiyo ya mwaka
ReplyDeletehttp://staryte.ucoz.com/