Home
Unlabelled
HAPA NI LUGHA GONGANA AU NDIO MWAKE??
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Hapo lugha sio gongana - Kingereza kilichotumika ni sahihi kabisa
ReplyDeletetatizo ni nini hasa?
ReplyDeleteNaona hapo ni bongo yako mwenyewe gongana...! Iko sawa tu.
ReplyDeleteHiyo iko sahihi. Tembelea hapa http://idioms.thefreedictionary.com/Call+again
ReplyDeletekumbe ulitaka asemeje?welcome again ndio upate kuelewa.ulishazoea father ukisikia dad unaona du jamaa kachemsha.
ReplyDeletemwake
ReplyDeleteHapa hakuna lugha gongana wala nini. Hiki ni Kiingereza safi kabisa. 'Please call again' tasiri yake ya Kiswahili ni 'Tafadhili njoo tena' au 'Tafadhali tutembelee tena'. Neno 'call', kama yalivyo maneno mengi ya Kiingereza, lina maana nyingi.
ReplyDeleteMwake mwake bababaake
ReplyDeleteNi sahihi kabisa. Nadhani muuliza swali ameona neno call na akahisi ni kupiga simu au kitu cha namna hiyo lakini neno hilo linaweza kutumika katka kukaribisho wa ujio wa mtu tena, hivyo nadhani lugha hiko sahihi
ReplyDeleteHaya maneno “Please call again” ni standard British English. Yanatumika sana Uingereza na hata Marekani, yalianza kabla ya kuwa na telephones. “To call” ina maana “to come” again au “to visit” again. It seems that the verb "call" is tricky for some foreigners and for some natives too.
ReplyDeleteUtakuta hizi signs madukani, kwenye risiti, kwenye barua za biashara (business letters, ma-Doctor (housecalls) etc... na hata kumkaribisha tena mtu kwenye huduma hiyo inayotolewa kama inavyoonyesha hapo kwenye bango la BP Petrol Station.
Mifano mingine: to call in on someone is “to make a short visit”, "to pay a visit (courtesy call)",
to phone again, use the service again, visit again.
Haya maneno “Please call again” ni standard British English. Yanatumika sana Uingereza na hata Marekani, yalianza kabla ya kuwa na telephones.
ReplyDelete“To call” ina maana “to come” again au “to visit” again. It seems that the verb "call" is tricky for some foreigners and for some natives too.
Utakuta signs hizi madukani, kwenye risiti, kwenye barua za biashara (business letters, ma-Doctor (housecalls) etc... na hata kumkaribisha tena mtu kwenye huduma hiyo inayotolewa kama inavyoonyesha kwenye BANGO hilo la BP - Petrol Station.
Mifano mingine: to call in on someone is “to make a short visit”, "to pay a visit (courtesy call)", to phone someone, to get the service again, to visit someone again, etc...
SAWIA KABISA HIYO NDIO QUEEN ENGLISH!!
ReplyDeletehapo ni lugha gongana maana please call again ni=samahani itatena.....!!!!???mhhh huono hapo ilivyo tofauti na karibu tena
ReplyDeletemwake mwake babake hiyo!
ReplyDeleteIko mwake hiyo
ReplyDeleteNothing wrong with the translation at all, the author of this ad is not guilty, please do some research before trying to belittle and unfairly critisize others.
ReplyDeleteDr Gangwe Bitozi.
Swali kwa aliyetuma taswira.
ReplyDeleteCall of nature means;
A,Kuitwa jina la kiasilia.
B,Kuvutiwa na mbuga za wanyama na masli asili.
C,Kwenda kujisaidia.
Dr Gangwe Bitozi.
Dr G
ReplyDeleteHuyu kauliza tu, aulizaye ataka kujua na hakuwa na nia ya ku m bi lito mtu yeyote...
Sasa keshajua na kuanzia sasa ataacha ile yetu ya kiswahili "welcome again" lol
Dr G
ReplyDeleteHuyu kauliza tu, aulizaye ataka kujua na hakuwa na nia ya ku m bi lito mtu yeyote...
Sasa keshajua na kuanzia sasa ataacha ile yetu ya kiswahili "welcome again" lol
Muulizaji hana haja ya kukashifiwa ni kueleweshwa tu. ndio maana labda wengi wetu tunabaki na ujinga alafu baadae unakuwa pumbavu sababu tutaogopa tukiuliza tunachekwa. LET PEOPLE BE FREE PLEASE
ReplyDeleteHapo ni sawa kabisa,hakuna lugha gongana!Mfano, " someone will call for house inspection" ina maana kuna mtu atakuja/atatembelea kwa ajili ya ukaguzi wa nyumba.
ReplyDeleteMatatizo ya shule za kata hayo.
ReplyDeleteok ok tunapenda lugha za wageni ingekuwa kiswahili mgesema matusi.
ReplyDeletehapa iko sawa na kiswahili tufasiri hivivi. ninanyi.(tupo pamoja)(nipo na nyinyi)Hiky is my name.
iyo ni proper english tatizo nn au sababu ya call again hiyo inamaana nyingi hapo sio call ya kupiga sim iyo
ReplyDeletehawa wadau sijui wamekwenda shule gani jamani halafu kuna mtu anaitwa Dr hapa kaacha comment zake ni Dr wa nini jamani nahisi si wa kizungu , alivyosema ni sawa kwamba tusi be little and unfairly critics others its true si jambo zuri hili lakin lunga hii walio tafsiri SI SAWA KABISA nendeni zenu mnajidai iko poa wapi kizungu kiko kombo hapo acheni zenu hakuna cha DR Wala nini
ReplyDeletekaribu maana yake nini kwa kizungu na call again maanayake nini? wacheni hizo hata kizungu hamkijui mnajaribu kusema ipo sawa wapi
Acheni kuwa wajuzi wa lugha za wengine, kama hayo ya lugha gongan hapo juu.
ReplyDeleteHakuna cha lugha gongana!
The ship called at Dar es Salaam port...meli ilitua....
Ankal, hapo wewe ndiyo bongo gongana! Bango lipo sahihi kabisa! Kiingereza babaaaaaa
ReplyDeleteHuwa siache kuangalia maoni michuzi blog. Kwa Tafsiri ya neno kwa neno gongana vinginevyo ni sawa.
ReplyDelete