Wadau katika Sinema That's My Boy, ambayo imetoka kwenye theaters wiki hii, mimi nilikuwa Stand In wa Luenell ambaye anaigiza katika hii sinema kama Champale ambaye ni Stripper (mvuo nguo). Champale nimama mtu mzima anayepnda kutembea na matiti nje. Matiti amabyo mnaona ni feki. Kazi ya Stand In ni kuhakikisha kuwa mwanga, microphone nk. ziko sawa kabla ya Stelingi kuingia kufanya kazi yake. Kila kitu ambayo utaona kafanya Luenell, nilifanya mimi kwanza. Wali-shoot mwaka jana katika sehemu mbalimbali za Massachusetts.
Home
Unlabelled
Da'Chemi katika sinema ya That's my Boy iliyotoka wiki hii marekani
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Hongera Da Chemi, taratibu utafika!
ReplyDelete