Hatimaye video ya wimbo Party Zone kutoka kwa AY akiwa amemshirikisha Marco Chali(producer ambaye siku hizi anaanza kuja juu kwa utundu mwingine ndani ya muziki) imetoka.Inasemekana kuwa mojawapo ya video za gharama kubwa kabisa zilizowahi kufanyika miongoni mwa wasanii wetu.
Home
Unlabelled
“PARTY ZONE”-AY Ft. MARCO CHALI (OFFICIAL VIDEO)
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Nice video na dance music, hivi wadau nauliza hivi wasanii wanavyotengeneza video kwa matangazo na kuonyesha alama za biashara kwenye nguo wanzaovaa, je wanalipwa? kfm. "butan" kama sijakosea ni trademark ya designer wa south africa?? je wanlipwa??
ReplyDelete