Mkuu wa Wilaya ya Morogoro, Saidi Amanzi (kushoto) akikata utepe kuzindua rasmi kisima kipya kilichochindwa kwa msaada wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL), kwa gharama ya sh. mil. 25, kwa ajili ya Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Morogoro, wakati wa hafla iliyofanyika hospitalini hapo jUZI.Kulia ni Mkurugenzi wa Uhusiano na Sheria wa TBL, Steve Kilindo ambaye alikabidhi kisima hicho. Katikati ni Mganga Mkuu wa Hospitali hiyo, Dk. Jofrey Mtei. |
Mkuu wa Wilaya ya Morogoro, Saidi Amanzi (kushoto) akifungua maji kutoka katika bomba mara baada ya kuzindua kisima kipya kilichochindwa kwa msaada wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL), kwa gharama ya sh. mil. 25, kwa ajili ya Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Morogoro, wakati wa hafla iliyofanyika hospitalini hapo juzi. Anayenawa ni Mkurugenzi wa Uhusiano na Sheria wa TBL, Steve Kilindo ambaye alikabidhi kisima hicho.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...