Mambo vipi wadau?Salama?
Ni hivi,mwezi ujao wote Soggy Doggy, Bwana Misosi na D.Knob tunafanya Bonge la Hip-hop tour Kanda ya ziwa,Ruvuma na Arusha - Au vipi Bwana - lengo kubwa likiwa ni kutoa burudani kwa mashabiki wetu ambao huwa wanatuona mara chache sana kwani tunabanwa na majukumu mengine - Au vipi Bwana -katika ziara hizi tunaambatana na madansa wetu na tumedhaminiwa na PRO-24
Soggy Doggy
Bwana Misosi
D.Knob
Vijana siyo mnajipachika majina tu bila kutafiti maana yake.
ReplyDeleteKNOB;
1, A circular rounded projection or protuberance.
2, (slang/urban) A stupid person,penis, an obnoxious person.
- What a knob!
-Knob head.
etc.
Change your name to a meaningful one. Don`t be a KNOB.
Dr Gangwe Bitozi.
...Hahahaha Dr.Gangwe Bitozi umenivunja mbavu zangu!
ReplyDeleteLabda Msanii ana maana yeye ni 'mtambo' kweli kweli kama hicho unachoelezea kitu chenyewe !