Mkurugenzi Mtendaji wa Vodacom Tanzania Bw Rene Meza akielezea jinsi Vodacom ilivyochangia zaidi ya shilingi bilioni 700 katika malipo ya kodi ya serikali alipokutana na waandishi wa habari mjini Dodoma.
Ofisa Mkuu wa Mahusiano ya Jamii wa Vodacom, bi Mwamvita Makamba akiongea na waandishi wa habari (hawapo pichani) baada ya kukutana na kamati ya bunge ya miundo mbinu, sayansi na teknolojia mjini Dodoma.
Mhariri wa gazeti la The Guardian Bw. Florian Kaijage akiuliza swali kuhusiana na Vodacom Tanzania kuchangia zaidi ya shilingi bilioni 700 katika kodi za serikali katika mkutano na Mkurugenzi Mtendaji wa Vodacom Tanzania Bw. Rene Meza(hayupo Pichani), kushoto kwake ni mhariri wa gazeti la Mwananchi Bw. Neville Meena.
Billion 700 !!!!!!! jamani mpooo wale wenye tabia ya kuchonga saaana lakini kutwa mko bar kujua kwingi mbele giza, yenu ni kulaumu makampuni ya kigeni, o nchi imeuzwa , o,Kikwete O, mabepari N.K je hiyo kampuni yenu ya TTCL imechanga ngapi ???? au hao wajanja wa Tannesco. Jamani acheni mjengewe nchi, tukubali tu kwamba sisi hatu .... ( WEZI) tunalolijua ni WIZI tu na kuharibu, au kuchonga domo kama nilivyosema hapo mwanzo. Zebedayo -kweli inauma.
ReplyDeleteHuyo florian alishindwaje kuendesha TFA kama si wizi? Tuanagalie kwanza matumbo ya watu na tuwaulize wana ugonjwa gani kama si utapiamlo basi ni mafisadi na hasa mashavu yakivimba kiaina.
ReplyDeleteMWANITA HAJA CHUMBIWA MBONA MZURI NA BADO JINA HAJABADILI? SINGLE BOYS VIPI?
ReplyDeleteAnonymous wa Thu Jun 14, 08:50:00 AM 2012
ReplyDelete...MWANITA HAJA CHUMBIWA MBONA MZURI NA BADO JINA HAJABADILI? SINGLE BOYS VIPI?...
Bwana Mkubwa hapo juu tuheshimiane tafadhali Mdau mwenzangu !
Mimi Mgosi wa Kaya kutoka Tanga mwenye mzigo nimo humu Jamvini siku hadi siku kipindi hadi kipindi nikimfuatilia Mwamvita!
Nilishawaeleza awali ya kuwa nitaanzia kwa Mhe. Waziri January halafu nitamalizia kwa Sheikh Yusuf nitakuwa nimekiweka kitu mkononi mngoje kulishwa Pilau tu!
VODACOM inatuwezesha kwa kweli!!!
ReplyDeleteNi mfano wa kuigwa ktk Tanzania!