Wabunge karibu 10 nchini Zimbabwe wametahiriwa kama moja wapo ya hatua zao ya kukabiliana na kusambaa kwa virisi vya Ukimwi nchini humo
Njee ya majengo ya bunge mjini Harare , kulijengwa zahanati ndogo kwa sababu ya shuhuli hizo za kuwapasha wabunge tohara.
Blessing Chebundo, ambaye ni mwenyekiti wa wabunge wanaopambana na Ukimwi amesema nia yake hasa ya yeye kuamua kupashwa tohara ni kuchochea wanaume nchini Zimbabwe kutairiwa.
Bwana Chebundo anasema kuna wabunge zaidi ya 120 na wafanyikazi wa bungeni ambao wameonyrsha nia yao ya kutairiwa.
Shirika la afya duniani WHO linasema kupasha tohara kunapunguza atari ya wanaume kuambukizwa virusi vya Ukimwi kwa asilimia 60.
Zimbabwe ni moja wapo wa mataifa 13 barani Afrika ambapo mwaka wa 2007 shirika la WHO inasema kuna haja kubwa ya kuanzisha harakati za kuwatahiri wanaume.
Jana, wabunge hao walijitokeza hadharani ili kupimwa hali yao ya Ukimwi.
Wabunge hao wanachochea wanaume nchini Zimbabwe kukubali kutahiriwa, kama njia mojawapo ya kupumguzu maambukizi ya virusi vya ukimwi.
Hii nikutokana na takwimu za hivi karibuni zinazoonyesha kuwa karibu robo ya wanaume wote nchini Zimbabwe wameambukizxwa virusi.CHANZO BBC
wazimba kumbe ma stelingi wa kihindi?...lol (govinda)
ReplyDeleteNa wabunge wetu wafuate utaratibu huu haraka iwezekanavyo jamani.
ReplyDeleteSi Zimbabwe tu, naamini hata bongo pengine zaidi ya 50% ya wanaume/wavulana hawajatahiliwa. Ukienda Asia ndo haswaaaaaaa.
ReplyDeleteKhaaaa Makubwa haya!
ReplyDeleteYaani mpaka mtu unapanda Jukwaani unapigana Kiume kutafuta Ubunge kumbe bado mzigo unao kibindoni huja onana na Dakitari?
Enhhh inafikia unaapishwa na kuiniga Bungeni lakini bado unao 'mpira' wa soksi iliyo wazi mbele kibindoni!
Sasa Wajameni unakutana na Mwanamke aliyekwisha pitiwa na Mwanaume huyu mwenye hilo (2o...ba)
ReplyDeleteMfano ulikuwa hujui na inafikia watu wanakunong'oneza wanakwambia kuwa Bwana 'Karumanzira' anayejulikana na watu wooote ya kuwa bado analo amekwishapita hapo kwa Bibie!
Hapa inakuwa vipi?