Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akisikiliza swali kutoka kwa kiongozi wa Upinzani Bungeni, Freeman Mbowe katika kipindi cha maswali kwa Waziri Mkuu, Mjini Dodoma leo.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiteta na Waziri wa Nishati na Madini, Profesa Sospeter Muhongokwenye viwanja vya Bunge Mjini Dodoma leo.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiteta na Mbunge wa Ludewa, Deo Filikunjombe kwenye viwanja vya Bunge Mjini Dodoma leo.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...