Mzee Joseph Francis Korassa

Kwa niaba ya familia ya Jack Korassa, tunapenda kuwataarifu Misa ya Msiba ya Baba yake mzazi Mzee Korassa itakayofanyika siku ya Jumapili July 8, saa 7 mchana (1pm) katika kanisa la The Way Cross Gospel Ministries, College Park.

Address:
3621 Compus Drive,
College Park, MD 20740

ukipata taarifa hii mtaarifu mwenzio na kufika kwako ndio mafanikio ya ibada hii, tunaomba ushirikiano wako hasa kwa kipindi hiki kigumu kwa Jack ili afarijike na kutojisikia mpweke.

Msiba hapa DMV unafanyika nyumbani kwa mfiwa,
address
17 Gas Light Court,
Gaithersburg, MD 20879


Kwa taarifa zaidi na Maelekezo tafadhali wasiliana na:

Omby 240 595 5100
Melisa- 240 305 1356
Eva Mhina-301 204 6750
Salome-240 440 2110
Rehema Nambai- 301 267 3397
Susan Malima-202906 9927
Dick Small-202 374 9094

Bwana ametoa, Bwana ametwaa na Jina lake lihimidiwe.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...