Wadau

Cheki wenyewe jinsi Issa Michuzi anavyofananishwa na Mark Elliot Zuckerberg wa Facebook
  • Wote wanamaelfu ya wapenzi wanaoingia kwenye mitandao yao kuvinjari
  • Wote ni Millionaires
  • Wote wanapenda kupiga the fulanaz
  • Wote ni wacheshi na wanaomarafiki sio kidogo
  • Wote ni maarufu sana kwenye nchi zao na duniani kwa ujumla
  • Wote hawanywi pombe kutokana na imani zao
  • Wote wameoa na wanawapenda wake zao
  • Wote hawavuti sigara au kutumia madawa
  • Wote wanapenda sana kazi zao na wanafanya vizuri kwenye nyanja zao
Tofauti zao
  • mmoja mweupe na mwingine ni black handsome
  • mmoja anaishi USA and mwingine in Tanzania
Endeleza hoja wadau

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 17 mpaka sasa

  1. Zuckerberg ni Billionnaire... si millionaire

    Ignorant

    ReplyDelete
  2. Tunataka picha zao wote wawili.

    ReplyDelete
  3. na jengine hawana majivuno, they are very simple guys.... sijawahi kuwaona lakini i can feel them....

    ReplyDelete
  4. wote mabillionaire kwa dola za kizimbabwe..namjimbu mdau wa kwanza hapo juu maana yeye karukia tu..Ankal ni milionaire wa Tzs na labda dola za kimarekani. Zukverberg ni milionaire kwa pound sterling, lakini wote bilionea kwa pesa ya Zimbabwe..upo? sio ignorant basi :)
    wakuja tumemjua

    ReplyDelete
  5. Sina ubaya na Uncle ila hii hoja ya kipuuzi. Hebu tuleteeni hoja za kutujenga kimawazo na kujenga nchi. Msitupotezee muda ninyi.

    ReplyDelete
  6. Tofauti: Mmoja ni mkerereketwa wa CCM anayetetea kwa nguvu zote na mwingine hana itikadi ya chama chochote.

    ReplyDelete
  7. huu upumbavu, wewe huna kazi ya kufanya, baada ya kufanya mambo ya maana, unaanza kukompea watu walio tofauti.

    ok wote ni viumbe wa Mungu wenye akili tofauti.

    Texas

    ReplyDelete
  8. Mmmja ni Muislam na mwingine ni myahudi. Na based on culture zao mmoja kwa ajili ya culture yake ameweza ku monetize his website na ku become a billionaire. Mwingine kwa ajili ya culture yake ya uvivu na umaskini ameishia kuto monetize website yake.

    ReplyDelete
  9. Umekosea. Michuzi anavuta sigara pamoja na kupiga bangi kidizaini. Samahani kama nimekuumuza Michuzi lakini habari ndiyo hiyo!

    ReplyDelete
  10. kaka issa tunafamiana long time.ila hapo noma unajipigia debe mwenyewe nduguyo hapa ubatani jews

    ReplyDelete
  11. Zidane vs mwaikimba
    Pdiddy vs mr blue

    ReplyDelete
  12. so what???????????????

    ReplyDelete
  13. Kweli kazi ipo, Michuzi na Mark? Gimme a break fellas,this is utter nonsense. Michuzi anafanya vema sawa,lakini huwezi mlinganisha na kichwa kama Zuckerberg.

    ReplyDelete
  14. We Ankal noma sana na wala hufanani na huyo jamaa wa facebook hata!
    Ndugu yako Gibson Mwakambonja amekufa siku nyiingi hata siku moja kumrusha kwenye site yako kwa kumbukumbu yake!!?
    Kumbuka ulivyoweks picha yake kuubwa ukurasa mzima wa mbele gazeti la sunday news baada ya harusi yake. Au ndio ushamsahau??

    ReplyDelete
  15. La ziada:

    Kutokana na jukumu zito na msaada mkubwa wa kibinaadamu kwa Jamii ya Tanzania kupitia Libeneke Ankal unastahili Ruzuku kutoka ktk Mamlaka upewe!

    ReplyDelete
  16. Hebu tizameni,

    Muungwana Issa Michuzi anavyotuletea taarifa, mfano yanayowakabili ndugu zetu vichwa ngumu tungeyajua hayo yanayojiri huko Ugiriki?

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...