Arobaini ya Marehemu Mama  Hawa Ngulume (1949-2012) inafanyika nyumbani kwake Goba, Kinzudi, Dar es Salaam Jumamosi hii Octoba 13, 2012. Mama Ngulume alifariki Agosti 30, 2012 katika hospitali ya Lugalo.

Mbali ya kuwa mwanamichezo, askari na kada wa CCM, Hawa Ngulume alikuwa Mkuu wa wilaya za Singida, Kondoa, Morogoro, Kibaha, Kinondoni, Bagamoyo na Mbalari.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. Loh kumbe mama yetu mpendwa alishafariki?!!Rest in Peace Hawa.

    David V

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...