Spika wa Bunge Mhe. Anne Makinda akijibu maswali mbalimbali kuhusu uendeshaji wa Bunge yaliyokuwa yakiulizwa na Wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Tiba na Afya cha (IMTU) cha Jijini Dar es Salaam waliofika kutembelea Bunge wiki hii kwa lengo la kujifunza kazi za Bunge. Ni utaratibu wa Bunge kwa wanafunzi pamoja na wanachi wanaokuja kutembelea Bunge kupata elimu kwa umma kuhusu kazi za Bunge ikiwa ni pamoja na kukutana na baadhi ya wabunge na viongozi wa Bunge. Picha na Owen Mwandumbya
Home
Unlabelled
Spika wa Bunge awapa somo wanafunzi wa chuo cha IMTU kuhusu kazi za Bunge
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...