KATIBU wa NEC, Oganaizesheni Dk. Muhammed Seif Khatib (kushoto) akikabidhiwa ofisi na aliyekuwa akishika wadhifa huo kabla ya mabadiliko ya Sekretarieti ya CCM yaliyofanyika hivi karibuni, Ndg Asha Abdallah Juma, katika hafla ya makabidhiano iliyofanyika, leo Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba jijini Dar es Salaam. Kulia Ni Mkurugenzi wa Kitengo cha Uchaguzi kilichopo Idara ya Oganaizesheni, Ndg Matson Chizi. Picha na Bashir Nkoromo

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...