Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 13 mpaka sasa

  1. Hivi ni kwanini hawa watu wa bongo movies wanakaa kutaka kumtumia huyu poor girl kwa manufaa yao?
    Nimesoma taarifa kwamba kuna baadhi ya hao bongo movie stars wanataka kufanya nae movie wakati ndo tu kwanza katoka lupango jana, Pili kwa lulu is too soon kuuza sura sasa hivi. Najua u need the money but jamii bado haijui what happened to kanumba
    Ushauri wangu subiri kesi iishe kwanza then ufanye utakacho fanya maana Usisahau uko nje kwa dhamana tu and the whole thing is not over yet until is over. Ni ushauri tu I hope you lay back for a while maana nothing in this world last forever! !
    Mdau wa USA

    ReplyDelete
  2. she is getting very bad advice

    ReplyDelete
  3. Kwamba uko USA so what. Hata hivyo muache binti aamue mwenye

    ReplyDelete
  4. Lulu anatakiwa apate washauri wazuri,mambo ya movie saivi ni mapema mno atulie na pia ajaribu kukwepa skendo za aina yeyote ile maana km mdau juu ulivyosema kesi bado haijaisha uko nje kwa dhamana tu.

    ReplyDelete
  5. Thats Ignorant!

    ReplyDelete
  6. Ushauri wa bure:

    Lulu bado umekalia kuti kavu, lolote linaweza kutokea!

    ReplyDelete
  7. Lulu tulia sema na Mungu wako achana na hao bongo movie watakupotosha kesho ukipatwa na balaa watakaa pembeni wakucheke.

    ReplyDelete
  8. Lulu kwa sasa hivi usikubali offer yoyote ya kuigiza Movie mpaka hapo kesi yako itakapo malizika!Watu hivi sasa wanafuatilia kila dogo utakalo fanya,usidhani wote wanakupenda,wapo mahasidi wachache watakao penda kukuona ukirudishwa tena Lupango!Lakini,hao Ma producer wakitaka kujipanga foleni,na wakakubali kukupa chochote cha kianzio ili kukunasa ucheze Movie zao hapo kesi itakapo malizika,pesa hiyo usikatae,chukua,kisha ihifadhi ikusaidie kwa lolote litakalo jitokeza.Kwasasa,nakushauri,utumie muda huu,kuandika Story fupi ya mkasa wa kweli uliokupata,toka wakati ule hadi sasa,Story hiyo usimpe mtu kiburebure tu,"ni pesa kubwa sana inayoweza kukutoa"ikija tengenezwa Movie,na hata ikichapishwa katika Kitabu!huu ni ushauri wa bure ambao hutakiwi kuulipia hata senti tano!I wish you all the best,Mungu atakusaidia,na yote yatamalizika salama!Nyote tuliwapenda,lakini,ndivyo Mapenzi ya Mungu yalivyo timia!

    ReplyDelete
  9. Lulu pumzika kwanza. ulipata tatizo kubwa sana.Ningekushauri hata kuepukana na waandishi wa habari

    ReplyDelete
  10. USHAURI MZURI KWA LULU NA WAZAZI WAKE: INGAWA AMETIMIZA MIAKA 18, MAMBO YALIYOMKABILI HIVI JUZI TU NI MAKUBWA MNO NA IKUMBUKWE KUWA BADO NI MTOTO HIVYO MEDIA INAWEZA YETU NINAVYOIJUA INAWEZA KUMUULIZA SWALI LOLOTE LILE KUH NA KESI YAKE, NAYE BILA KUFAHAMU AKAJIBU ANAVYOJUA YEYE NA JIBU LAKE (A) LIKAMLETEA MATATIZO ZAIDI KWENYE KESI YAKE (B) LIKAWAUMIZA HISIA MASHABIKI WA FILAMU NA WATU KWA UJUMLA (C)AKAJIARIBIA JINA LAKE NA NDIO IKAWA MWISHO WA U-STAR WAKE (D)WATU WAKAMTAFSIRI TOFAUTI NA ALIVYO. HIVYO BASI, KWA WENZETU WA UGHAIBUNI MA-CELEBRITY WANAKUWA NA 'PR' WAO AMBAO WANAWASHAURI MA-CELEBRITY HAO WASEME/WASISEME NINI NA WAKATI GANI. MUHIMU TULIA KWA MUDA MPAKA UAMUZI WA MAHAKAMA. KAMA SIJAKOSEA, MARA NYINGI UNAPOPEWA BONDI MOJA YA MASHARTI NI KUWA USIZUNGUMZE NA MTU YEYOTE KUH NA KESI YAKO KWANI BADO INAENDELEA, NA VILE VILE IWAPO UTAFANYA KOSA LA JINAI, UNAWEZA KUFUTIWA ZAMANA YAKO NA UKARUDI NDANI. HIVYO KAMA DADA YANGU NA MDOGO WANGU WA MAHALI PAMOJA TABATA, NAELEWA UNA HAMU YA KURUDIA MAISHA YAKO YA KAWAIDA, BASI TARATIBU USIRUDI KWA SPEED, NA KAA MBALI NA MAHOJIANO KAMA HAYO, UMESHAHOJIWA HAPO INATOSHA. KAMA ULIVYOSEMA KWENYE INTERVIEW HII, SASA UNAELEWA KWA NINI MAMA YAKO ALIKUWA AKIKUAMBIA UMSIKILIZE NA SASA UNATAMBUA HILO, HIVYO MSIKILIZE NA TULIA NYUMBANI NA NDUGUZO NA MARAFIKI ZAKO WA UKWELI.WEWE BADO NI MDOGO SANA NA MAISHA NDIO KWANZA UNAYAANZA, HIVYO USIWE NA PUPA. KAMA UNASALI KANISANI BASI WEWE SALI TU KUMWOMBA MUNGU MAMBO YAISHE NA AKUONGOZE. SINA USHAURI MWINGINE ZAIDI YA HUO NA NI KWA KUWA NAKUPENDA NDIO MAANA NAKUPA USHAURI HUU. PETER.

    ReplyDelete
  11. MDAU HAPO JUU: HAWEZI KUANDIKA KITABU WALA STORY SASA HIVI MPAKA ATAPOMALIZA KESI YAKE MAHAKAMANI NA KUACHIWA HURU. ANAWEZA KUANZA KUJIANDIKIA MWENYEWE NA KUHIFADHI KISIRI BILA KUMUAMBIA MTU, LAKINI SIO KUUZA AU KUMPATIA MTU YEYOTE KWANI INAWEZA KULETA UTATA KWENYE KESI YAKE.

    ReplyDelete
  12. Hivi wadau mnaoshauri asifanye kazi asubiri kesi iishe, mwajua inachukua muda gani kesi ya mauaaji kumalizika? Nadhani mwajisahau huku ni Bongo, yaweza kuchukua hata muaka 10....asifanye kazi ale nini? Na hao ma PA mnaomshauri awe nao atawalipaje? Lulu fanya kazi tengeneza pesa..lkn kama wengi walivyokushauru utulie mtoto wa kike...yakikupata mengine utazama mazima!

    ReplyDelete
  13. Enheee!

    Yaani ile kutoka Gerezani jana tu leo tayari anakijunju cha manyoya ya farasi (nywele badia) kichwani !

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...