Mory Kante na ngoma yake ya Yekeyeke alileta raha ya aina yake kwa kweli
Home
Unlabelled
ngoma azipendazo ankal - enzi hizo
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Ankal nawe kwa `kuturusha roho` sisi vijana wa zamani unatisha.Ni miaka hii hii ya Yekeyeke kulikuwa na kibao sijui aliimba nani ila ninakumbuka kitu kama HIGH LIFE-WAGADUGU.Hii ngoma ilikuwa hatari kwenye kumbi za Disco.Hata leo ikipigwa ala zake bado ni moto
ReplyDeleteNje ya Mada.Idara/Mamlaka ya Utabiri wa hali ya hewa TZ juzi ilitoa utabiri wa mvua mikoa ya pwani mnamo tarehe 2-3 Januari,lakini kama kawaida yetu waTZ(Tuna ujuaji mwingi),watu wakaponda sana ule utabiri.Lakini tunashuhudia mvua hizi Daresalaam.Natoa pongezi kwa Mamlaka
David V
Na lyrics ni .... Kisutu mnatutia haya ... Na majina yao kanambia Yahaya.... maneno mengine nimesahau (mwanafunzi wa zamani wa Kisutu...)
ReplyDelete