KATIBU WA UHAMASISHAJI WA  TANZANIA MEN'S RIGHTS ASSOCIATION (TAMRA) TAIFA BWANA HATIBU MGEJA (SHOTO) AKIWA NA MWEKA HAZINA WA TAMRA TAIFA BWANA JUMA KOMBO. KUPATA HABARI KAMIRI BOFYA HAPA

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 9 mpaka sasa

  1. he he hee na nyinyi wababe mna mambo ya kibeijing sio?! wapi bushokee... mwenzenu napigwa.., mwenzenu naosha vyombo!

    ReplyDelete
  2. Alhamdullilah tumekomboka!

    Duhh, walizidi kutuonea na kutukalia Kooni na Vyama vyao vya haki za ile Jinsi ingine tofauti na sisi Wanaume!

    Nilishuhudia kwa macho yangu mambo haya ambayo moja kwa moja yatakuwa yametoa Haki ya upande mmoja:

    1.Jamaa mmoja Machinga akiwa na bidhaa zake mkononi huku akiwa na mwanawe mgongoni!

    2.Niliona mtu mmoja alibwagiwa mwanawe Ofisini akijua afanyaje ilhali gharama za matunzo alikuwa anatoa!

    3.Alikuwepo Kiongozi mmoja katika awamu zilizopita kitambo alidiriki kugawa Filimbi za Mgambo kwa Wana jinsia wengine ili watakapo fanyiwa isivyo haki na Wanaume wapulize kwa kuomba msaada wa Umma.

    Sasa yote hayo matatu, yanaonekana yamefanyika kwa utetezi wa upande mmoja wa Jinsia, na kuigandamiza Jinsia ingine!

    ReplyDelete
  3. Henehehe!

    Ama kweli itakuwa ni mpambano kama Yanga na Simba!

    Tamwa mmeona hiyo?

    ReplyDelete
  4. Wanawake mlizidi saaana Udikteta dhidi ya Wanaume.

    Mara nyingi imeshatokea mlalamikiwa akiwa ni Mwanaume anakandamizwa bila utetezi wowote.

    Ni mara ngapi mmekuwa mkibwebwa sana na Asasi za Kijamii?

    ReplyDelete
  5. Hii ni Asasi au ni Saccos?

    ReplyDelete
  6. Ohhhh haitasaidia!

    Wenzenu si watatetewa na mwenzao ambaye ndiye Spika wa Bunge?

    ReplyDelete
  7. Hapa ndipo tunapokosea Watanzania wenzangu. Haya ya Haki si mapambano baina ya Ke' na Me'. Tupambane baina ya Mifumo tuliyo jijengea hangu enzi za mababu zetu, na kuimarishwa na mila na desturi zetu. Tutambue yapi ndani ya mifumo hiyo yamejikita ktk sera na sheria na kukandamiza haki, ktk fikra zetu na kulenta mgando onevu, katika lugha zetu na majukumu yetu na kuelemea jinsi moja au nyingine. Tatizo siyo Ke' wala Me' ndugu zangu. Ni malezi, makuzi na mazingira. Suala la Ukandamizaji Kijinsia lipa katika kanda na kanda; Nchi na Nchi, wenye wadhifa na wananchi kawaida n.k.

    Tukae pamoja tutafakari yapi yatakupatia mahusiano chanya na yenye tija. Utengano ni udhaifu. Tuweke mzani sawa Kijamii, uchumi na siasa kisha tuende sambamba.

    Mungu Ibariki Tanzania

    ReplyDelete
  8. msisahau PRENUPT.

    ReplyDelete
  9. Watu wa Musoma wanaume ni wakatili sana dhidi ya wanawake sijapata kushuhudia.
    Mkae mkijua kuwa ukatili mnaofanya unaonesha udhaifu wenu somehow hupambani na mwanamke ambae hawezi kupigana na wewe ati ukitafuta kuheshimiwa ni matatizo mnayotengeneza kwenye hizo familia zenu. Heshima haiji kwa kumpiga mtu hata siku moja amkeni na ubabe wenu usio na mbele wala nyuma halafu tabia zenu mbaya mpaka wanawake zenu mmewarithisha kwenye maofisi mnaleta ubabe wakati unaaply ujuzi.
    Huo ni upuuzi uliowajaa tangu mababu zenu wake up! Acheni kuaply upuuzi wenu kila kona, u really annoys!Umkute mkurya,mjaluo,msimbiti sijui mnini wana viclan vyao kibao lakini ndo haohao tabia zao moja. Afadhali mjita kidogo ni mstaarabu.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...