Baada ya kimya kingi katika fani ya muziki, nimeamua kuirudia fani yangu na kutoka na miondoko ya kiafrica. Kibao cha kwanza nilichoamua kuanza nacho kinaitwa "Utu uzima dawa" ft Dunga kilichoandikwa na mimi pamoja na Richie Mavoko. Na ku produciwa na Lamar wa fishcrab.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. Atlast you are back, dude la ukweli sana, kaza buti hizi ndio mambo tunapenda kuona kutoka kwako. Big up sana

    ReplyDelete
  2. bigup nakaaya wimbo mtamu sana wakale walisema kimya kingi kina mshindo mkuu endelea hivyohivyo utarudi kama zamani usijali kaza buti

    ReplyDelete
  3. Waw Nakaaya well done. So nice.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...