Mbwa wa kiraia aliyepatiwa mafunzo na Jeshi la Polisi ya namna ya kukabiliana na uhalifu na wahalifu wanaobeba madawa ya kulevya hususani bangi.
Mmoja wa wahitimu wa mafunzo ya Mbwa akionyesha umahiri wake wa kutumia mnyama huyo mara baada ya kupatiwa mafunzo ya kutumia mbwa Kwa ajili ya kuzuia uhalifu na kikiosi cha mbwa na farasi cha Jeshi la Polisi mafunzo hayo yalifanyika jijini Dar es salaam.
Mbwa akionyesha umahiri wake wa kumkamata muharifu.
Mmoja wa wahitimu wa kike aliyepata mafunzo ya Polisi jamii na ulinzi shirikishi alipata mafunzo ya ukakamavu kwa ajili ya kukabiliana na uhalifu na wahalifu, mafunzo hayo yalifanyika jijini Dar es salaam katika viwanja vya kikosi cha mbwa na farasi cha jeshi la Polisi.( Picha na Hassan Mndeme- Jeshi la Polisi).

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...