kusoma habari zake zaidi bofya hapa

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. AnonymousMay 11, 2013

    Mazoezi yana upa mwili nguvu, huyu babu wa maiak 102 anaonekana ana nguvu sana ingawaje umri wake umeenda sana. Tujifunze kitu hapo.

    ReplyDelete
  2. AnonymousMay 11, 2013

    Sawa lakini hayupo katika Guiness Books of Records, kwa sababu hana cheti cha kuzaliwa na vile vile huu umri ni wa kukisia tu. Mtu awe na miaka 102 halafu akimbie riadha si sahihi na haiwezekeni. Mimi mwenyewe nilihudhuria kama mpiga picha siku ya mbio hizo lakini wee mtu mwenyewe anaonekana kama ana umri wa miaka 80 na wala sio 102. Ukitaka picha nikutumie nitakutumia.

    ni hayo tu.

    MP

    ReplyDelete
  3. AnonymousMay 11, 2013

    1 April 1911 (age 102)

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...