Ngoma ya Mapiko toka Mtwara

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. AnonymousMay 23, 2013

    Weee kwa sasa sijui kama utawachezesha tena hawa watu.

    ReplyDelete
  2. AnonymousMay 23, 2013

    Daa ebwana weee yaani nimekumbuka mengi mnooo kwa ngoma hii.Miaka hiyo mitaa ya Tandale, Mwananyamala,Makumbusho,Msasani na Kijitonyama mara nyingi Wazee wa kusini walikua wanandaa ngoma hii na kukusanya watu wengi mnoo toka vitongoji mbalimbali hapa nazungumzia miaka ya themanini kuja miaka ya tisini mwanzoni,Ilikua burudani tosha na promo nzuri kwa biashara zilizokua zinafanywa na mualikaji kinyemela.Nitakaporudi TZ nitazungukia mitaa yote hiyo ili nijikumbushe.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...