Mwenyekiti wa Chama cha Makatibu Muhtasi Tanzania (TAPSEA),Dada Pili Mpenda akiwa amevalia joho na zawadi tele mara baada ya kulamba Nondozz yake ya Diploma on Secretarial Studies katika Chuo cha Utumishi wa Umma Tanzania tawi la Tabora,ikiwa ni Mahafali ya 14 toka kuanzishwa kwa Chuo hicho.hafla hiyo ilifanyika Mei 4,2013 chuoni hapo
Dada Pili Mpenda (kulia) akiwa na Muhitimu mwenzie mara baada ya kilamba Nondozz zao.
Dada Pili Mpenda (kulia) akiwa na Wahitimu wenzie mara baada ya kilamba Nondozz zao.
Hongera sana Dada Pili na wenzio hapo kwa kuifikia hatua hiyo, kwakweli mmependeza sana!. Huo usiwe mwisho, endeleeni kupanda ngazi hizi za shule. Napenda sana kukupongeza kwavile najua isivyorahisi kupata nafasi ya kusoma, udhamini na ruhusa ya kwenda shule. Ni lazima Mungu aingilie kati ili vigezo hivi vyote viweze ku-kudhi, mara nyngi si rahisi sana.....Unaweza ukapata nafasi ya kusoma, na ruhusa ya kwenda kusoma lakini ukakosa udhamini au vinginevyo....huwezi kwenda popote.....Lakini kwenu hapo dada zangu "vigezo na masharti yote yaliwapa kuifikia hatima hii, hongereni sana"
ReplyDeleteNadhani mtakumbuka na kuona umuhimu na kwenda kutoa sadaka za shukurani huko mnako mwabudu Mungu wenu aliyewapa neema hii, si ndiyo wajemeni?
Hongera My Wiii!!!!! hapa sasa safari moja huanzisha nyingine, usijibwekete, kaza butiiii!!!!!
ReplyDelete