Mwanadiaspora Dj Dennis Shengena alonga na Vijimambo aelezea maisha yake kwa ufupi, Je alishawahi kupiga muziki wa Club Tanzania? Hapa Marekani Je? ni nini kilimleta Marekani, Mabasi ya Shengena yanauhusiano gani na jina lake la ukoo? ni Dj gani wa Bongo enzi hizo aliyekua anamchengua, pamoja na mambo mengi MSIKILIZE

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. AnonymousJune 10, 2013

    Mahojiano mazuri yanayoelewesha U-Dj ni nini na muziki wa kusherehesha uwe ukumbini au ktk radio unaendaje.

    Asanteni Dj Joe na Dj Denis kwa mahojiano ya kina kuhusu tasnia ya entertainment hususan u-DJ.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...