Rais Jakaya Kikwete akiwa katika picha na mawaziri anaoongozana nao pamoja na viongozi wa mkoa wa Kagera wakati wa sherehe za uwekaji jiwe la msingi kwa ujenzi kwa kiwango cha lami wa barabara ya Kagoma-Lusahunga wilayani Biharamulo, mkoa wa Kagera
Rais Jakaya Kikwete akiwa katika picha na viongozi wa CCM wa mkoa wa Kagera wakati wa sherehe za uwekaji jiwe la msingi kwa ujenzi kwa kiwango cha lami wa barabara ya Kagoma-Lusahunga wilayani Biharamulo, mkoa wa Kagera
Rais Jakaya Kikwete akiwa katika picha na mawaziri anaoongozana nao pamoja na viongozi wa TANROADS wakati wa sherehe za uwekaji jiwe la msingi kwa ujenzi kwa kiwango cha lami wa barabara ya Kagoma-Lusahunga wilayani Biharamulo, mkoa wa Kagera
Rais Jakaya Kikwete akiwa katika picha na mawaziri anaoongozana nao pamoja na wafanyakazi wa TANROADS wa mkoa wa Kagera wakati wa sherehe za uwekaji jiwe la msingi kwa ujenzi kwa kiwango cha lami wa barabara ya Kagoma-Lusahunga wilayani Biharamulo, mkoa wa Kagera
Rais Jakaya Kikwete akiwa katika picha na mawaziri anaoongozana nao pamoja na viongozi wa kampuni za ujenzi wakati wa sherehe za uwekaji jiwe la msingi kwa ujenzi kwa kiwango cha lami wa barabara ya Kagoma-Lusahunga wilayani Biharamulo, mkoa wa Kagera
Rais Jakaya Kikwete akiwa katika picha na mawaziri anaoongozana nao pamoja na wafanyakazi wa kampuni ya ujenzi wakati wa sherehe za uwekaji jiwe la msingi kwa ujenzi kwa kiwango cha lami wa barabara ya Kagoma-Lusahunga wilayani Biharamulo, mkoa wa Kagera
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...